Tarehe 14/09/2016 ilikuwa siku ya fainali ya kombe la mbuzi Shule ni TARAKEA SECONDARY SCHOOL
Ilikuwa ni mechi Kati ya
TANKOLA FC VS TK WORRIERS
mechi Ilianza mida ya saa nane ikifunguliwa na Headmaster WA Shule sir Martin kija
Mechi Ilisha mida ya saa Tisa huku matokeo ya kiwa
TANKOLA FC VS TK WORRIERS
5 1
WAFUNGAJI TIMU YA TANKOLA FC
DAVID MACHI 3
CASSIM ANANASI 1
SUDI AKA LUCKY 1
Picha ya mkuu wa Shule ya TARAKEA SECONDARY SCHOOL
0 comments:
Post a Comment