Kubadili Tahsusi kwa Wanafunzi kwenda Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati
Monday 1st, April 2019
@Tanzania nzima
Tarehe iliyotolewa maalum kwaajili ya Wanafunzi Wanaotaraji kujiunga kidato cha tano na Vyuo vya kati, tarehe hii imetangazwa na Waziri wa nchi OR-TAMISEMI.
Muongozo.....Selform _ Student Manual.pdf
Ingia kwenye Mfumo kupitia Anwani Ifuatayo Baada yakusoma Manua/ Muungoz huo.
0 comments:
Post a Comment