Diamond na Rayvanny wafunga mtaa katikati ya Jiji la Dar Es Salaam, sababu zaelezwa (+picha)

Diamond na Rayvanny wafunga mtaa katikati ya Jiji la Dar Es Salaam, sababu zaelezwa (+picha)

Wasanii wa muziki kutoka WCB, Diamond Platnumz na Rayvanny leo Alasiri wamefunga mtaa katika maeneo ya Posta Jijini Dar Es Salaam, ambapo imeelezwa kuwa wawili hao wapo location ku-shoot video ya wimbo wao mpya.

Mashabiki wakishangaa gari la Diamond Platnumz

Kwa mujibu wa maelezo ya watu wa karibu, waliokuwepo kwenye eneo la tukio wameeleza kuwa hali hiyo imesababisha baadhi ya mitaa na barabara kufungwa ili kupisha zoezi hilo.

Picha na Wasafi TV.

SHARE

Author

Hi, Its me Hafeez. A webdesigner, blogspot developer and UI/UX Designer. I am a certified Themeforest top Author and Front-End Developer. I'am business speaker, marketer, Blogger and Javascript Programmer.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment