Baada ya mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Diamond Platnumz kuachia wimbo wake wa IYENA kutoka katika ALBUM yake ya THE BOY FROM TANDALE kumetokea hali ya Sito fahamu katika mitandao ya kijamii ya INSTAGRAM hii ni baada ya MEMBERS na familia ya msanii huyo ikiwemo mama mzazi BISANDRA kupost picha za wimbo ambapo Diamond na zari wakiwa katika hali ya kama wanandoa na kumuita WiFi zari pia wasanii wengine wa Bongo nao hawakuchelewa kupost picha za wimbo huo zikimwonesha Diamond Platnumz na zari pamoja
Baada ya muda meneja wa msanii huyo BABU TALE alipo picha ya Diamond Platnumz a kumvisha pete zari huku akisema kuwa kurudisha uhusiano huo kwake ni kitu kidogo sana ni kama kumsukuma mlevi na kudai anaelekea South Africa kuongea na zari iliwarudiane na Diamond Platnumz a
Haikuishia hapo alionesha picha akiwa uwanja wa ndege Pretoria South Africa
Wimbo wa Diamond Platnumz Ft rayvanny umeweka rekodi katika Youtube kwa east Afrika kufikisha views 1million ndani ya saa 19 tu
0 comments:
Post a Comment