Video za Mahaba Kati ya Diamond na Hamisa Zazua Gumzo LEO MTANDAONI APRIL 2018, Jionee Mwenyewe VIDEO HII IMEANZA KUSAMBAA MTANDAONIN LEO
Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amerudi upyaa Kwenye headlines baada ya video zake za mahaba na Baby mama wake msanii Hamisa Mobetto kusambaa mtandaoni siku ya jana.
Jana Diamond na Hamisa wameonekana pamoja katika chumba kimoja huku wakikumbatiana na kushikana kitendo kilichoibua maswali mengi kwani kiukweli haijajulikana kama wapo pamoja au ni kiki.
Hii imetokea ikiwa ni wiki mbili tangu wawili hao walipokutana live kwenye Tuzo za SZIFF pale Mliamni City Dar ambapo Diamond alimkumbatia mwanamama huyo na kupigana mabusu motomoto mbele ya umati uliofika kushuhudia tukio la tuzo hizo.
Hizi ni baadhi tu ya video zinazowaonyesha wakiwa pamoja
Na Wawili hao wameonesha wazi kuwa maadui siku za nyuma baada ya Hamisa kusambaza picha zao wakiwa pamoja baada ya Diamond kukataa kuwa hajazaa naye lakini baadae walimaliza tofauti zao mahakamani.
Lakini jana Diamond na Hamisa wameonekana pamoja katika chumba kimoja huku wakikumbatiana na kushikana kitendo kilichoibua maswali mengi kwani kiukweli haijajulikana kama wapo pamoja au ni kiki.
Hizi ni baadhi tu ya video zinazowaonyesha wakiwa pamoja:


0 comments:
Post a Comment