Diamond: Wasafi TV & Radio Sio Kwa Ajili ya Kushindana na Chombo

Diamond:  Wasafi  TV & Radio Sio Kwa Ajili ya Kushindana na Chombo Chochote

Msanii Diamond Platnumz amesema Wasafi FM na TV si kwa ajili ya mashindano na vyombo vingine vya habari.

Akizungumza visiwani Zanzibar Diamond amesema vyombo hivyo ni kwa ajili ya kuondoa matabaka miongoni mwa wasanii na kukuuza muziki.

“Ninaomba watu waelewe kabisa hakipo katika kushindana na kitu chochote au kushinda na chombo chochote,” amesema Diamond.

Diamond na timu yake ya Wasafi kwa sasa wapo visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusaka vipaji vya utangazaji ambavyo vitapewa nafasi katika vyombo hivyo vya habari.

SHARE

Author

Hi, Its me Hafeez. A webdesigner, blogspot developer and UI/UX Designer. I am a certified Themeforest top Author and Front-End Developer. I'am business speaker, marketer, Blogger and Javascript Programmer.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment